Maendeleo ya Jamii: Walemavu

Kwa mujibu wa takwimu za Shirika la Afya la Dunia, katika kila watu kumi ulimwenguni mmoja ni mlemavu. Kwa kuwianisha, hii ina maana kwamba asilimia kumi (10%) ya watanzania wote, yaani watu 3,700,000 ni walemavu wa aina moja ama nyingine. Kwa mtizamo wa aina yoyote ile idadi hii ni kubwa mno kiasi cha kuhitajika mipango maalum inayolilenga kundi hili.

SHARE THIS

Author:

Previous Post
Next Post